Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania(TRL)wakiwa na furaha ndani ya mojawapo ya mabehewa yaliyofanyiwa majaribio leo abubuhi jionee hapo chini.
Kichwa cha treni pamoja na mabehewa sita ya awamu ya kwanza,yakisubiri kufanyiwa majaribio kwa Safari zitazoanzia Station Dar es Salaam Mpaka Ubungo mnamo mwezi wa kumi,majaribia hayo yameongozwa asubuhi ya leo na Naibu Waziri wa Uchukuzi,Mhe. Dk Charles Tizeba(Mb) ambaye alipanda treni hiyo kuanzia Station Dar es Salaam Mpaka Ubungo.Serikali imetumia kiasi cha Sh. Bil 4.75 kwa ajili yaukarabati wa njia,injini na mabehewa.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania(TRL)wakiwa na furaha ndani ya mojawapo ya mabehewa yaliyofanyiwa majaribio leo abubuhi.
wow! fantastic. halafu eti JK hafanyi lolote. mungu mbariki Kikwete.....better something rather than nothing!
ReplyDeletefaridah gullam