Arnold na Anitha who’s currently working at Dar es Salaam Port wanatarajiwa kupanda altareni mnamo tarehe 27 October mwaka huu at St. Joseph Church hapa hapa jijini ili kwenda kula kiapo cha kuishi kama mume na mke till death tear them apart.
“Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kumu-engage my long time girlfriend, ninachokisubiri kwa sasa ni siku ya tukio kufika ili nivute jiko langu ndani”
“Anitha is so loving, caring kwa ufupi she’s my heaven sent, amekuwa akinishauri na pia kunisupport mara nyingi kwenye kazi yangu “-Arnold
No comments:
Post a Comment