SEXY lady anayeuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa amezama katika filamu za Kibongo, Agness Gerald a.k.a Masogange amefunguka kuwa huwa hawafagilii wanaume au masharobaro wanaomshobokea kwa sababu ya umbo lake linalodatisha wengi.
Akizoza na Hot 2 Hot, mnyange huyo alifunguka kuwa mwanaume yeyote anayedai kudata na umbo lake ni mzushi na wala hana mapenzi ya dhati bali ni uroho wa ngono tu unaotokana na jinsi anavyoniona nilivyojaliwa.
“Mwanaume wa kweli anakupenda wewe mwenyewe jinsi ulivyo na si umbo lako ndiyo maana mimi siwafagilii kabisa wanaoshoboka kwa ajili ya umbo langu,” ali-talk Agness.
“Mwanaume wa kweli anakupenda wewe mwenyewe jinsi ulivyo na si umbo lako ndiyo maana mimi siwafagilii kabisa wanaoshoboka kwa ajili ya umbo langu,” ali-talk Agness.
No comments:
Post a Comment