Mtakatifu Tom katikati akisaini mkataba wa kuinoa Yemen na
mabosi wake wapya (Picha zote kwa hisani ya Mtakatifu Tom)
|
KOCHA Mbelgiji Tom Saintfiet aliyefukuzwa Yanga baada ya siku 80 za
kuwa kazini, jana amesaini rasmi mkataba kuifundisha timu ya taifa ya
Yemen katika sherehe zilizoifanyika mjini Sana’a.
SOURCE BIN ZUBEIRY
No comments:
Post a Comment