Lori la mafuta lateketea kwa moto muda mfupi uliopita katikati ya Eneo la Mlandizi na Chalinze Mpaka sasa Sababu za lori hilo kuwaka moto hazijajulikana na Hakuna aliyeripotiwa kufa wala kujeruhiwa mpaka sasa. Tutazidi kuwajuza kadri taarifa zinavyotufikia kutoka kwa Ripota wetu aliyepo eneo hilo.

No comments:
Post a Comment