Gari lililokuwa ndani ya Kanisa la T.AG Mbagala Kizuiani likiwa limevunjwa vioo.
Gari la Kampuni ya Clouds Media Group likiwa limepasuliwa kioo cha nyuma.
…Anglikana.Kibao cha kanisa kikiwa kimevunjwa.
Baadhi ya waandamanaji wakiwa wamewekwa chini ya ulinzi.
WATU wanaodaiwa kuwa ni Waislamu wamevamia makanisa mbalimbali yaliyopo Mbagala Kizuiani jijini, Dar wakihamasisha vurugu wakimtuhumu mtoto Emmanuel Josephat kuwa amekojolea kitabu cha dini hiyo (Msaafu) Oktoba 10, mwaka huu.
Baadhi ya makanisa yaliyoshambuliwa ikiwa ni pamoja na kuchomwa moto magari yao ni Kanisa la Sabato, Aglikana na T.AG .
No comments:
Post a Comment