Mwanadada anayetamba na Vocal ya Ukweli kutoka Kundi la Glorious Band ambaye ni Mtoto wa Bishop Peter Denis jumamosi ya Wiki Hii alifunga Pingu za Maisha na Mtoto Wa Mchungaji anayekwenda kwa jina la Victor Langula.Harusi hiyo iliyohudhuriwa na mamia ya Wakazi wa Dar, Pwani na Morogoro ilifungwa katika Kanisa la E.A.G.T Jangwani maarufu kama Mito Ya Baraka na Kisha Sherehe kufanyika katika Ukumbi wa Msasani Beach Club Ukumbi wa Makuti.
Without Caption Maids wakiwa na Pozz na Bibi Harusi Ndani Ya Pozz Matata
Mwanamke Pozz bana hasa ukiwa nalo.
No comments:
Post a Comment