WAVAMIA KITUO KIDOGO CHA POLISI , MABOMU YA MACHOZI YALINDIMA.
Waislam wenye itikadi kali wavamia kituo cha police mbagala KIZUIZ NIwakidai wanamuitaji mshitakiwa wao haliyekamatwa leo asubui kwa kitendo cha kumnyang'anya binti msaafu na kukojolea leo asubui. kwa kitendo hicho kiliwalazimu police kuwatawanya watu kwa kutumia mabom ya machozi kitendo ambacho kime asili mwenendo wa masomo kama tunavyo ona katika picha wanafunzi wakilia.
PICHA NA
GERLAD KIMANGA
MS CORNER
No comments:
Post a Comment