Vyombo vya habari vingi barani ulaya
vimeripoti kwamba Cristiano Ronaldo ametoa msaada wa €1.5 million kwa
watoto wa mji wa Gaza.
Lakini ukweli ni kwamba msaada huo umetoka kwa Real
Madrid foundation ambao walichangisha kiasi hicho kutokana na mauzo
kiatu cha dhahabu alichoshinda Ronaldo msimu wa 2010-11.
Mwaka jana Mreno huyo aliuza viatu vyake vingi vya michezo na fedha zilizopatikana alizitoa kwa Real Madrid Foundation ambao wakazipeleka kwa shule za watoto huko Gaza.Real Madrid Foundation imesaidia kujenga shule 167 katika nchi 66 tofauti.

No comments:
Post a Comment