MWIGIZAJI
John Maganga anayetarajiwa kuzikwa leo mchana, mwili wake utabebwa na
wasanii wenzake sita wote wakiwa kwenye vazi la suti nyeusi.
Wasanii
waliotajwa kuwa watabeba sanduku lenye mwili wa Maganga ni pamoja na
Richie Richie, Ray, Dr Cheni, Cloud, Capturado na Mike Sangu.
Maganga atazikwa kwenye mababuri ya Kindononi.
Via saluti5 www.saluti5.com
No comments:
Post a Comment