HII NAYO ACNE FREE ILA HII NI KWA WALE WENYE NGOZI ZA KUSIKILIZIA KAMA ITAFANYA NINI BAADA YA KUPAKA KITU KIPYA. |
Haya wakina mama/big sisters/big brothers, wadogo zenu walionza kukua na
kwa bahati mbaya ngozi zao ni za CHUNUSI basi wanunulieni dawa yaani
jinsi vinavyokukela wewe na yeye ndio hivyohivyo ila basi tu hana
hela,kuwa msamalia mwema basi.

***Usije ukasema dawa zote hazifanyi kazi!maana haujajaribu zote.Mimi ni
mfano hai nilishasema kitu fulani hakina tiba kumbe nilikuwa sijajaribu
dawa itakayonipenda."Winners never quit and quitters never win.Kazi
kwako.....
No comments:
Post a Comment