TASWIRA ZAIDI CHADEMA WALIVYOITEKA ARUSHA SIKU YA JANA.
Lema katia gari ya wazi na viongozi wengine wa Chadema.. Heche na Johusa Msafara unaondoka Kia kuelekea mjini Hapa ni tengeru...wananchi walilazimisha msafara usimame ili wasalimiane na mbunge wao
No comments:
Post a Comment