Waasi wa M23 wanaoshiriki katika mazungumzo na Serikali ya Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo huko Kampala, wametishia kujiondoa katika
mazungumzo hayo iwapo serikali haitakubali mkataba wa kusimamisha
mapigano.
Wakati mazungumzo hayo yakiendelea, hali ya wasiwasi imetanda mjini
Goma, kufuatia hofu ya raia kwamba waasi huenda wakauteka mji huo.
No comments:
Post a Comment