Baadhi ya Majeruhi waliojeruhiwa na Majambaji mapema ya jana katika eneo la
Kariakoo,jijini Dar wakiwa kwenye gari la Polisi tayari kwa kupelekwa
hospitali kwa Matibabu.kwa mujibu wa Ripota wetu ni kuwa Baadhi ya
Majambazi hao wamekamatwa na wapo kwenye kituo cha Polisi Msimbazi
Kariakoo.Majambazi hao wameuwa watu wawili kwa risasi.
Wananchi
wa jiji la Dar wakiwa wameduwaa bila kuamini kile walichokiona
kikitokea mapema jana eneo la Kariakoo,baada ya Majambazi kuvamia gari
moja lililosadikiwa kuwa na hela walizotaka kuziiba na kupelekea kuuwa
watu wawili papo hapo.
No comments:
Post a Comment