Wakuu wa Chuo cha elimu ya biashara kampasi ya Dodoma wakiwa kwenye maandamano ya kuingia ukumbini
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehama Nchimbi akiwa kwenye maandamano ya mahafari ya 47 ya chuo cha biashara kampasi ya Dodoma
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akiingia ukumbini kwenye mahafari ya 47 ya chuo cha biashara kampasi ya Dodoma
Baadhi ya wahitimu wakiwa wanakaa ili kuanza mahafari yao ya 47
Baadhi ya wanachuo wakitunukiwa Stashahada
Amina Njoka akipendeza kwenye Joho baada ya kupata Stashahada ya Ugavi na Manunuzi
Baadhi ya watu walioudhulia kwenye mahafari ya chuo cha Biashara ya 47 ya kampasi ya Dodoma.Picha Na Pamoja Pure Blog
No comments:
Post a Comment