Rais
Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Rais
Mstaafu wa Kosovo, Mhe. Behgjet Isa Pacolli jana Desemba 19, 2012 Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Uganda aliyemaliza muda
wake wa kazi hapa nchini, Mhe, Ibrahim Mukiibi alipofika kuaga jana Desemba 19, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwakilishi wa Benki ya Dunia katika nchi
za Tanzania, Burundi na Uganda, Bw. Phillipe Dongier, mara bada ya
maongezi yao jana Desemba 19, 2012 Ikulu jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA IKULU)
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment