TIMU
timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inatarajiwa kuweka kambi nchini
Afrika Kusini kwaajili ya kujiandaa na mechi za mchujo wa kombe la dunia
ambazo fainali zake zitafanyika Brazil mwaka 2014.
Ofisa
Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface
Wambura, alisema kufuatia ombi la kocha mkuu Kim Poulsen, kambi hiyo
inatarijiwa kuanza Januari 6 mwakani.
Wambura alisema Poulsen ameomba japo mechi tatu za kimataifa ili kujiweka sawa.
No comments:
Post a Comment