Mashabiki wa SKYLIGHT Band wakijimwaga kwa dancing floor.
Pichani Juu na Chini Umati wa Mashabiki wa SKYLIGHT Band wakizungusha mduara wa mbele aende mbele na wa nyuma arudi nyuma.
Pichani
Juu na Chini ni Papa Justin Ndege na mdau wakiwatunza wapiga vyombo na
waimbaji wa SKYLIGHT Bendi baada ya kuguswa na uimbaji pamoja na
upigaji wa vyombo.
Mario Mpingirwa akionyesha jinsi gani anavyopenda kinywaji chake.
Papa Justine Ndege ( wa pili kulia) akiwa na marafiki wa karibu na mashabiki wa SKYLIGHT Bendi.
Wadau wa Makumbusho Kijitonyama, Yusuph (kushoto) huku Eric Ndalu akiwa na mai waifu.
Mdau Lussa ( wa pili kulia) alitia timu SKYLIGHT Band kula bata na marafiki zake.
One
and Only Mekydiva Mash Macha (katikati) akishow love na Blogger King
Kif, huku Jacqueline Mzindakaya akiipa mgongo Camera yetu.
Mdau Mwika (wa kwanza kulia) bila kukosa akishow love na marafiki zake.
Mashabiki nambari One wa Skylight Band wakishow love.
Models wakitega pozi kwa Kodak. Looking Fly Girls.
Hata shida na mtu kwa raha zake…Kuna msemo unasema ‘raha jipe mwenyewe’.
King Kif na Mdau Godwin Gondwe a.k.a Double G alipita pande hizi kuchungulia burudani ya Sky Light Bendi ikoje.
Diva’s wa SKYLIGHT Band Aneth Kushaba AK47 na Mary Lucos baada ya kupiga show ya nguvu walipata Ukodak.
No comments:
Post a Comment