EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Thursday, December 13, 2012

Tyson afanyiwa operesheni kugeuzwa kuwa mwanamke, sasa atajulikana kama Michelle, afurahia kupata hedhi.

BROOKLYN, Marekani-
Imetafsiriwa na gazeti la Jambo Leo-Gazeti la jana.
BINGWA wa zamani wa masumbwi wa uzito wa juu, Mike 'Iron' Tyson anadaiwa kubadilisha jinsia na kuwa mwanamke, ambapo upasuaji wake umefanyika salama mwishoni mwa wiki iliyopita.
Kwa mujibu wa mtandao wa Newsbiscuits wa Marekani, upasuaji wa mabadiliko ya jinsia ya mwanamasumbwi huyo wa zamani umefanyika katika kliniki ya karibu na Beverley Hills.
Wakati alipokuwa katika mchezo huo, Tyson alikuwa akijulikana kama ‘The Baddest Man on the Planet’ (Mtu mbaya kuliko wote duniani), akiwa mzaliwa wa jiji la Brooklyn.
Na bondia huyo inadaiwa aliwaambia waandishi kuwa kupata hedhi kwa mara yake ya kwanza ni kama ndoto iliyokuwa kweli katika maisha yake, na kuanza siku aliyofanyiwa upasuaji huo atakuwa akijulikana kwa jina la Michelle.
Tyson alinukuliwa akisema: "Baadhi ya watu walidhani kuwa ni hatari kwa mimi kuwa mwanamke. Tyson ambaye amefanyiwa upasuaji wa kubadilisha vitu kadhaa vya kiume katika mwili wake saa 28 zilizopita anajisikia vizuri kuwa hivyo.

"Lakini hata muda mrefu nilioutumia katika mchezo wa masumbwi nilikuwa nikijivunia kuwa bondia bora duniani siku zote, sikuwa na wazo lililoingilia nilichokuwa nikifanya kwa wakati huo, lakini nilijua siku moja nami natakuwa na matiti na uke."
Iron Mike au Iron Maiden kama ambavyo anataka kuitwa sasa aliruhusiwa kufanyiwa upasuaji na madaktari baada ya kuchunguzwa juu ya mwili wake, ambapo katika historia yake, bondia huyo alilalamikiwa kwa kupigwa na Evander Holyfield 1996.
Licha ya Tyson kusema yuko vizuri kuendelea na pambano, mwamuzi Mitch Halpern alilazimika kulimaliza katika raundi ya 11 akidai kuwa alimuona Tyson kama aliyeshindwa kuendelea kwa usalama wake.
Tyson, alionekana akiwa amevalia nywele za bandia za kike (wigi) na suruali aina ya jeans ya bluu na fulana ya mwanamitindo Vanessa Bruno.
Alinukuliwa akisema kuwa hali hiyo ya muonekano wake utasaidia kuwashawishi Wamarekani kujua kuwa siku zake za umwamba ulingoni zimekwisha na amekuwa mtu mwingine.
"Nimeuhifadhi uume wangu katika chombo maalum kisichoozesha chumbani kwangu kwa ajili ya kukumbuka viungo hivyo vilivyotufanya wakati tuko vijana wadogo gerezani" alisema Tyson katika kauli tata.
Licha ya watangazaji wengi wa ngumi kushindwa kutangaza alivyokuwa akivaa akiingia katika mapambano yake, ilikuwa ni dalili tosha ya kuonesha kuwa alitamani siku moja kuwa mwanamke.
Alama hizo ni kama kuvaa viatu virefu vyenye nakshi za kike, aina fulani za hereni na nguo ya juu kama gauni refu lenye urembo mwingi na hata katika glovu zake kulikuwa na kama rangi za kucha.
Imetafsiriwa na gazeti la Jambo Leo

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate