Mkurugenzi wa Utafiti wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akiwaelekeza jambo Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.
Mmoja wa wahariri wa Clouds TV, Anatoli Kabez akisalimia na Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.
Mfanyakazi wa Prime Time
Promotions Ltd, Godliver Nicholaus akiwapa jarida la Kitangoma
linalochapishwa na kampuni hiyo, Washiriki wa shindano la Miss East
Afrika 2012.
Mkuu
wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga akifafanua jambo
kwa Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.walipotembelea
studio za Clouds FM.
Mkurugenzi wa Utafiti
wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akiwaelekeza jambo Washiriki wa
shindano la Miss East Afrika 2012 walipotembelea ndani ya studio za
Clouds TV.
Washiriki wa shindano la
Miss East Afrika 2012 wakiwa katika picha ya pamoja mapema leo mchana
walipotembelea kampuni ya Clouds Media Group, Mikocheni jijini Dar.
No comments:
Post a Comment