EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Sunday, January 13, 2013

AZAM FC YATWAA KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

IRENE MWAMFUPE JAMII Blog tunawapongeza Timu ya Azam Fc kwa kutwaa kombe la Mapinduzi  usiku wa jana Zanzibar.
                       Azam FC yatwaa kwa mara ya pili Kombe la Mapinduzi
Azam FC yatwaa kwa mara ya pili Kombe la Mapinduzi  

Goli la mshambuliaji Gaudence Mwaikimba wa Azam FC limeipa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo timu hiyo katika mchezo wa fainali ulimalizika kwa Azam FC kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Tusker FC ya Kenya.

Azam FC imeweza kutetea kombe hilo na kilibakisha nchini katika mchezo ulitumia dakika 120 kumalizika kwenye Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar.

Mabingwa hao kwa mara ya pili walipewa medali za dhahabu, kombe na kitita cha shilingi milioni kumi kama zawadi ya kutwaa ubingwa huo.

Katika mchezo huo kipindi cha kwanza kilimalizika kwa timu zote bila kufungana, kipindi cha pili Tusker walianza kupata bao kupitia kwa mchezaji Jese Were aliyetumia uzembe wa beki ya Azam FC katika dakika ya 59.

Azam FC kupitia kwa beki wake mpya Jockins Atudo alisawazisha goli hilo kwa mkwaju wa penati baada ya mchezaji wa Tusker Luke Ochieng kunawa mpira wakati akizui mpira wa kichwa uliopigwa na Mwaikimba, penati ilimriwa na mwamuzi Ramadhan Kibo.

Goli hilo la kusawazisha kwa Atudo, ni goli lake la nne katika mashindano hayo, akifuatiwa na Mwaikimba mwenye magoli mawili.

Matokeo ya sare ya 1-1 yalimaliza dakika 90, katika dakika za nyongeza Mwaikimba alitumia vema nafasi aliyoipata katika dakika ya 92 na kupachika goli hilo wavuni na kumaliza mchezo Azam FC ikitwaa ubingwa kwa ushindi wa 2-1.

Baada ya goli hilo Azam FC walituliza mpira chini na kucheza mtindo wa kulinda lango lao kwa muda wote wa dakika 28 zilizobaki.

Katika mchezo wa leo Azam FC walifanya mabadiliko mawili, walitoka Uhuru Seleman dk 64 nafasi yake ikachukuliwa na Abdalah Seif na dk 126 aliingia Malika Ndeule kuchukua nafasi ya Brian Umony.

Tusker walifanya mabadiliko walitoka Fredrick Onyango, Andrew Tololwa, Jese Were, Khalid Aucho na Ismail Dunga nafasi zao zikachukuliwa na Mark Odhiambo, Edwin Ombasa, Andrew Sekayambya, Benson Amianda na Michael Olunga.

Baada ya kutwaa Kombe hilo, kocha mkuu wa Azam FC amewapongeza wachezaji wake kwa kubakisha kombe hilo na kusema ni muendelezo wa mipango ya mafanikio katika klabu hiyo.

Amesema safari inaendelea ya kupeleka makombe katika klabu hiyo, walianza na Mapinduzi 2012, Ngao ya Hisani walilochukua nchini Congo DRC na hili la Mapinduzi 2013.

Kikosi cha Azam FC kilichotwaa ubingwa, Mwadini Ally, Himid Mao, Samih Haji Nuhu, David Mwantika, Jockins Atudo, Michael Bolou, Humprey Mieno, Khamis Mcha, Gaudence Mwaikimba, Uhuru Seleman/Seif Abdalah 64’ na Brian Umony/Malika Ndeule 126’.

Wengine waliokuwa na kikosi hicho, Aishi Salum, Wandwi Wiliam, Luckson Kakolaki, Omary Mtaki, Abdi Kassim ‘Babi’, Jabir Aziz, Ibrahim Mwaipopo,Salum Abubakar, Tchetche Kipre kabla ya kuumia,  waliokosa mashidano hayo ni Abdulhalim Humud, John Bocco, Waziri Salum ambao ni majeruhi. 

Goli la mshambuliaji Gaudence Mwaikimba wa Azam FC limeipa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa mara ya pili mfululizo timu hiyo katika mchezo wa fainali ulimalizika kwa Azam FC kupata ushindi wa 2-1 dhidi ya Tusker FC ya Kenya.

Azam FC imeweza kutetea kombe hilo na kilibakisha nchini katika mchezo ulitumia dakika 120 kumalizika kwenye Uwanja wa ...Amaan, visiwani Zanzibar.

Mabingwa hao kwa mara ya pili walipewa medali za dhahabu, kombe na kitita cha shilingi milioni kumi kama zawadi ya kutwaa ubingwa huo.

Katika mchezo huo kipindi cha kwanza kilimalizika kwa timu zote bila kufungana, kipindi cha pili Tusker walianza kupata bao kupitia kwa mchezaji Jese Were aliyetumia uzembe wa beki ya Azam FC katika dakika ya 59.

Azam FC kupitia kwa beki wake mpya Jockins Atudo alisawazisha goli hilo kwa mkwaju wa penati baada ya mchezaji wa Tusker Luke Ochieng kunawa mpira wakati akizui mpira wa kichwa uliopigwa na Mwaikimba, penati ilimriwa na mwamuzi Ramadhan Kibo.

Goli hilo la kusawazisha kwa Atudo, ni goli lake la nne katika mashindano hayo, akifuatiwa na Mwaikimba mwenye magoli mawili.

Matokeo ya sare ya 1-1 yalimaliza dakika 90, katika dakika za nyongeza Mwaikimba alitumia vema nafasi aliyoipata katika dakika ya 92 na kupachika goli hilo wavuni na kumaliza mchezo Azam FC ikitwaa ubingwa kwa ushindi wa 2-1.

Baada ya goli hilo Azam FC walituliza mpira chini na kucheza mtindo wa kulinda lango lao kwa muda wote wa dakika 28 zilizobaki.

Katika mchezo wa leo Azam FC walifanya mabadiliko mawili, walitoka Uhuru Seleman dk 64 nafasi yake ikachukuliwa na Abdalah Seif na dk 126 aliingia Malika Ndeule kuchukua nafasi ya Brian Umony.

Tusker walifanya mabadiliko walitoka Fredrick Onyango, Andrew Tololwa, Jese Were, Khalid Aucho na Ismail Dunga nafasi zao zikachukuliwa na Mark Odhiambo, Edwin Ombasa, Andrew Sekayambya, Benson Amianda na Michael Olunga.

Baada ya kutwaa Kombe hilo, kocha mkuu wa Azam FC amewapongeza wachezaji wake kwa kubakisha kombe hilo na kusema ni muendelezo wa mipango ya mafanikio katika klabu hiyo.

Amesema safari inaendelea ya kupeleka makombe katika klabu hiyo, walianza na Mapinduzi 2012, Ngao ya Hisani walilochukua nchini Congo DRC na hili la Mapinduzi 2013.

Kikosi cha Azam FC kilichotwaa ubingwa, Mwadini Ally, Himid Mao, Samih Haji Nuhu, David Mwantika, Jockins Atudo, Michael Bolou, Humprey Mieno, Khamis Mcha, Gaudence Mwaikimba, Uhuru Seleman/Seif Abdalah 64’ na Brian Umony/Malika Ndeule 126’.

Wengine waliokuwa na kikosi hicho, Aishi Salum, Wandwi Wiliam, Luckson Kakolaki, Omary Mtaki, Abdi Kassim ‘Babi’, Jabir Aziz, Ibrahim Mwaipopo,Salum Abubakar, Tchetche Kipre kabla ya kuumia, waliokosa mashidano hayo ni Abdulhalim Humud, John Bocco, Waziri Salum ambao ni majeruhi.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate