Eneo la
katikati ya Lugeye na Nyanguge basi la abiria la 'Bunda Express' lenye
namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea Mwanza muda wa saa
mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira yanaonesha kuwa idadi
kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengine kuwa majeruhi na mvua
kubwa ilikuwa ikinyesha.

No comments:
Post a Comment