Makosa
mawili ya Branislav Ivanovic leo kwenye CAPITAL ONE CUP yaimeifungisha
timu yake ya Chelesea goli zote mbili na kwa makosa mawili ya kizembe.
Dakika ya 39 kipindi cha kwanza
Branislav Ivanovic amefanya makosa ya kupokea mpira kutoka kwa kipa na
kutoutoa haraka na hatimaye mpira kuupata mshambuliaji wa Swansea Michu
na hatimaye kuipachikia timu yake goli la kwanza.
Na dakika ya 90 kwenye dakika za nyongeza za lala salama Branislav Ivanovic ametoa pasi hewa kwa nyuma na kutomfikia kipa na hatimaye Danny Graham kuupata na kumfunga kipa Ross Turnbull wa Chelsea.
Michu akitupia kwenye nyavu goli la kwanza dakika ya 39 kipindi cha kwanza.Michu akishangilia kwa aina yake
Swansea wameweza kuwakaba kisawa sawa Chelsea leo usiku
hupiti hapa....
Ivanovic akikabwa na mchezaji wa Swansea
Danny Graham akimfunga Ross Turnbull goli la pili dakika ya 90+2 baada ya Ivanovic kufanya kosa.
...Nyavu...Ivanovic nguvu zikimwishia ...
T
Shabiki aliyekosa kuvumilia kuona
Chelsea inafungwa 2-0 Darajani na Swansea na kuingia uwanjani na hapa
akiondolewa nje na askari.
Michu akitupia kwenye nyavu goli la kwanza dakika ya 39 kipindi cha kwanza.Michu akishangilia kwa aina yake
Swansea wameweza kuwakaba kisawa sawa Chelsea leo usiku
hupiti hapa....
Ivanovic akikabwa na mchezaji wa Swansea
Danny Graham akimfunga Ross Turnbull goli la pili dakika ya 90+2 baada ya Ivanovic kufanya kosa.
T
VIKOSI:
CHELSEA: Turnbull, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Cole, Luiz, Ramires (Lampard 71), Hazard, Oscar (Marin 83), Mata, Torres (Ba 81).Subs: Hilario, Ferreira, Bertrand, Ake.
SWANSEA: Tremmel, Rangel, Chico, Williams, Davies, Britton, De Guzman, Ki, Routledge (Tiendalli 63), Hernandez, Michu (Graham 84).
Subs: Vorm, Dyer, Monk, Shechter, Agustien.
Goal: Michu 39, Graham 90
Referee: Anthony Taylor
No comments:
Post a Comment