Mimi Na Tanzania‚ ni
kipindi kinachohusu masuala yanayoigusa jamii kwa namna moja au
nyingine haswa katika siasa, uchumi, michezo, na vikwazo na vimbwangwa
vinavyoikumba jamii ya kitanzania.
Mimi Na Tanzania ni kipindi kisicho na upendeleo katika kumsaidia mwananchi wa kawaida haswa unyanyasaji unaofanywa na wanaodhani wana nguvu kuliko aliyewaumba.
Tunamulika Kaskazini hadi Kusini, Magharibi hadi mashariki ili kujenga jamii yenye amani, haki na upendo.
Mimi Na Tanzania ni kipindi pekee kinachofunga safari kutafuta habari za kijamii popote pale Tanzania.
Usikose kutazama kipindi hiki kila siku ya Jumapili, saa moja na nusu jioni katika runinga ya Channel TEN.
Kipindi cha 'Mimi na Tanzania' kinaongozwa na mrembo aliyewahi kushika taji Miss Tanzania mwaka 1999 Hoyce Temu.
Pia unaweza kupata vipindi vipya vinavyoigusa jamii kwa kuetembelea tovuti yake: www.miminatanzania.co.tz
Unaweza pia ku-like ukurasa wake kwenye facebook.com/miminatanzania
Fuatilia moja ya kipindi cha madhara ya madawa ya kulevya kwa kutizama video (youtube) iliyopachikwa hapo chini.

No comments:
Post a Comment