Wadau kutoka kila kona wakila hepi Nectar Lounge iliyopo Downtown Silver
Spring kusherehekea kuapishwa kwa Rais Barack Obama siku ya Jumamosi
January 19, 2013
Wasupuu wakipata picha ya pamoja
Wadau wakipata ukodak moment
Dj Jaymoh kutoka Baltimore akipata picha ya pamoja na mmoja ya mdau
Poromota DMK (shoto) katika picha ya pamoaja na Adam NY
kwa picha zaidi bofta read more
No comments:
Post a Comment