Wazee wa Kwadelo wakati wakimsubiri kuwasili kwa diwani wao pamoja wasanii hao
Baadhi ya kinamama wa Kwadelo waliohudhuria hafla hiyo
Ray akipozi picha na wazee wa Kwadelo
Wema Sepetu akiungurumisha trekta ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni hiyo. Wapili Kulia ni Omary Kariati
Uwoya naye akilijaribu trekta kwenye uzindzi huo
KWADELO HOYEEEEEE! J B akihamasisha wakati wakiwa kwenye trekta la kilimo wakati wa uzinduzi huo
Treka likionyesha mfano wa ulimaji wa kisasa kwenye shamba la shule ya sekondari ya Kwadelo wakati wa uzinduzi huo
KITUKO: Panzi! Panzi! Panzi!, Wema Sepetu (shati ya kijani) akifunika
uso wake kwa kipochi chake, huku akipiga kelele na kujiingiza katika
kundi la wazee, kwa sababu ya kuogopa panzi aliyemdandia wakati wa
shughuli za uzinduzi huo shambani
J B na Wema wakila mapozi shambani wakati wakienda sehemu ya uzinduzi
Wema akitangaza kuzindua kampeni hiyo
BAADAYE: Wasanii hao wakimkabidhi sh. 500,000 mmoja wa wananchi wa
Kwadelo walioathirika na mafuriko. Kwa mujibu wa Diwani Kariati (wapili
kushoto), fedha hizo zimetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa Bernard Meembe ambaye ni mzee wa heshima wa kata hiyo.
Diwani Kariati akikagua maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika moja
ya vijiji vya Kata ya Kwadelo, kufuatia mvua zoinazoendelea katika
maeneo mbalimbali nchini
Kariati akionyeshwa maeneo yaliyoathirika
Wazee
wakiomba dua ya kheri baada ya shuguli za uzindizi wa Kampeni ya kilimo
kwanza na kukagua maeneo ya walioathiriwa na mafuriko: Picha zote na
Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment