Shirika la kimataifa la Utangazaji la Ujerumani DW, limeanzisha sherehe
ya miaka 50 tangu lilipoanzisha shughuli zake likisikika Afrika
Mashariki na Kati, sherehe ambazo zitahitimishwa ijumaa kwa mdahalo
maalumu.
Mkuu wa idhaa hii, Andrea Schmidt akiwa na baadhi ya wafanyakazi,
alikuwa na mkutano na waandishi wa habari, mkutano ambao umehudhuriwa na
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Klaus-Peter Brandes, ambao wote kwa
pamoja wamejadili nafasi ya vyombo vya habari kwenye ujenzi wa jamii
imara. sikiliza taarifa ya George Njogopa kutoka Dar es Salalaam.
Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya kusikiliza masikioni hapo chini.
No comments:
Post a Comment