EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Saturday, February 2, 2013

Somalia yapeleka balozi Afrika Kusini

                                          Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud
 Kwa mara ya kwanza Somalia imepeleka balozi wake Afrika Kusini, taifa lenye uchumi mkubwa barani Afrika. Balozi mpya Sayid Sheriff anasema ana matumaini makuu anapopandisha bendera ya kidiplomasia ya Somalia baada ya miongo mingi ya kutokuwa na uthabiti wa kisiasa. Anasema anapanga kuwafikia maelfu ya raia wa Somalia waliokimbilia Afrika Kusini.

Sayid Sheriff ni balozi wa kwanza wa Somalia kupelekwa Afrika Kusini.Na kama ilivyo kawaida kwa mabalozi wanaokwenda nchini humo, alipokelewa kwa shangwe na kuandaliwa sherehe maalum. Somalia haijawa na serikali thabiti kwa miongo mingi. Ni taifa ambalo limekumbwa na ukame na njaa; vita vya wenyewe kwa wenyewe, wanamgambo wa al-Shabab wenye ushirika na mtandao wa kigaidi wa al-Qaida na tatizo la uharamia.

 Akimkaribisha balozi huyo  nchini humo  rais Jacob Zuma alisema; “Kutaabika kwao kutokana na ukame na njaa, na njia waliofikia katika kukarabati taifa lao ni njia tuliyopitia. Tutasimama nao kidete na kuwasaidia katika ujenzi mpya  wa taifa lao.”  Bwana Zuma amesema Afrika Kusini itatoa dola milioni 11 kusaidia  ujenzi mpya wa Somalia katika miundo mbinu na taasisi zake. Akizungumza na sauti ya Amerika, balozi Sheriff alisema taifa lake na Afrika Kusini zina mahusiano ya muda mrefu. Alisema zama zile Somalia ilisaidia chama cha African National Congress kupigana dhidi ya  serikali ya ubaguzi wa rangi. Lakini wakati Afrika Kusini ilipopata uthabiti wa kidemokrasia mwaka wa 1994, Somalia ilikuwa imetumbukia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe.
 Balozi  huyo  alionya kuwa mabadiliko Somalia hayatakuwa ya haraka akiashiria mlipuko wa bomu uliotekelezwa na mhanga wa kujitolea Jumanne  karibu na kasri ya rais. Alisema  baada ya vita vya zaidi ya miaka 21 vya wenyewe kwa wenyewe mabadiliko hayawezi kuonekana mara moja. Amani haitajitokeza kama muujiza, lakini Somalia inaanza kushuhudia amani hatua kwa hatua.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate