EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Sunday, March 10, 2013

LADY JAY DEE ALIA SOMA MKASA MZIMA HAPA

Staa wa muziki wa Afro-Pop,Judith Wambura a.k.a Lady jay Dee amelia na kuanika siri ya maishani mwake kuwa anasumbuliwa na tatizo la kufanya ngono na wanaume wengi ndotoni.
 
Usiku wa jumapili iliyopita Jide ambaye ni mke wa mtangazaji wa Times Fm Gardner Habash alitumia kipindi chake cha Diary ya Lady Jaydee kwenye runinga ya EATV kuanika ishu hiyo na baadae kuomba ushauri kupitia blog yeke.

JIDE ALISEMA: Nimekuwa na tatizo la kusumbuliwa na ndoto mbaya na kufanya mapenzi na watu tofauti tofauti.

Hapa chini ni mkanda mzima kutoka ndani ya Blog yake ladyjaydee.blogspot.com.

UKIWA NA TATIZO FULANI UKAAMUA KUFANYIWA DUA, UNATAKIWA LAZIMA UFANYIWE NA MTU WA DHEHEBU LAKO AU KWAKUWA MUNGU NI MMOJA UNAWEZA PIGIWA DUA POPOTE???

Habari za kazi?
Katika kipindi cha Diary ya Lady JayDee cha
Jumapili ya tar 3/3/2013
Niliongelea jinsi ninavyosumbuliwa na ndoto mbaya za kufanya mapenzi na watu tofauti tofauti.
Na niliongea na watu ambao walinishauri kufanyiwa dua na Maalim ambae ni dehebu la Islam
Lakini nmepokea msg toka kwa watu mbali mbali, wengine kudhani sio sawa mimi kufanya hivyo sababu mimi ni CHRISTIAN
Ila nilikuwa nafikiria, MUNGU ni mmoja na sala yoyote inaweza ikapokelewa
Au ni lazima uwe dini flani kuombewa na mtu mwenye dini kama yako??
Ni mtazamo tu. Na kuna maoni mengine ni ya kisayansi Tupia maoni yako unafikiriaje kuhusu hili swala???


Na hizi ni baadhi ya msg nilizopokea toka kwa watu mbali mbali

MSG NO.1
helo Lady JayDee,,
mimi ni fan wako mzuri,,,and i really love ur voice n the insparation behind ur songs,,
jana katika kipindi chako cha diary yako,, there is one thing that caught my attention,, lile tatizo uliloelezea linalokukabili na jinsi ulivyoamua kulitatua. sawa, kila mtu ana imani yake,,
but kiukweli the only permanent solution is deliverence in the mighty name of Jesus Christ

kama una watch emmanuel television,, utaona wanawake wengi wanakuwa delivered. its called a spiritual husband. the spirit is so bad huwa inazuia wengine kuolewa, na hata kupata mimba.

nimeona nikushauri as i take you as my sis,,,
if you can panda ndege nenda kwa Prophet T.B Joshua,, u will be delivered completely. utakuja kushuhudia,,,
thanx n hope u wil take my advise
my name is suzan

MSG NO.2

My name is Benjamin a clinical Phsychologist. I follow your interesting TV show and i was concerned with your history of nightmares and intevention you took.
I am not against the therapies you went through but i can offer you free of charge two Psychotherapy sessions if you like.

Thanks

MSG NO.3
Dada Judith,

Nakupenda sana. Jana nimefuatilia Diary ya Lady Jay Dee nakuona unatafuta suluhisho la kuzuia ndoto mbaya kwa mganga. Nimesikitika sana.Najua unauhuru wa kufanya hivyo.Ila kama ungelisoma vizuri Bible yote (waweza tumia hata miaka 3) ungelijua kuwa Hapo mwanzo shetani alikua ni moja ya viumbe muhimu sana kwa MUNGU mwenye uzuri wa ajabu ila alitupwa chini pamoja na 1/3 ya malaika walioasi naye ndiyo majini,yaani hao maluhani..na kila pepo mchafu.

Pia ungeliweza kugundua kuwa Kristo yaani Mwana wa MUNGU YESU ndiye tu anaweza kukuondolea ndoto zako mbaya. Unapotumia unavyoviita vitabu vitakatifu, kiukweli si vitakatifu..ni janja ya shetani tu, kuondoa mapepo. Pepo haliwezi kuliondoa pepo.

Najua wewe ni mtu maarufu sana na ni muhimu. Naomba urejee kwa YESU na kutafuta suluhisho. Ni kwa 100% utapona.

Nakutakia mafanikio mema.

Richard
 
JIBU: Bwana Richard Shehe au Maalim sio mganga wa kienyeji, itakuwa umeelewa kipindi vibaya.
Angalia tena marudio Alhamis saa 2:00 usiku

Msg zaidi nitazi post nikipata wasaa wa kutosha
Siku njema na mapenzi tele

MSG NO.4

Daaah
p0le xana bt abt tatz0 nd0t0
I think your g00d christianity s0 its better ukamtafuta mchungaj ambaye atakusaidia ukishindwa niambie ntakuelekeza.
Kuendelea kuteseka huku ukipewa mashart meng mara anat0ka jumanne na jumam0s mara vp...
Na vtu kiba0

Goldisten

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate