EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, March 13, 2013

Miss utalii wakutana na naibu meya kinondoni


1 f6b93
Maelezo katika Picha: Raisi wa Miss Utalii Tanzania Ndugu Erasto G. Chipungahelo wa Kwanza Kushoto, Kaimu Mustahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Muheshimiwa Songolo pamoja na Ndugu Adam Chipungahelo, wakati walipofika katika Ofisi yake.

 Kamati ya Maandalizi ya Miss Utalii Tanzania Ikiongozwa na Rais wa Mashindano hayo Ndugu Erasto G. Chipungahelo Jana Tarehe 12.03.2013 Ndugu..... katika ofisi yake iliyopo Kinondoni Manispaa Jijini Dar es salaam Akiwa ameambatana na Baadhi ya Viongozi wa Kamati hiyo ambaye ni Ndugu Adam Chipungahelo ambaye ni Mratibu wa Matukio Miss Utalii Tanzania na Bwana Fredy Njeje ambaye ni Meneja wa Masoko na mahusiano Miss Utalii Tanzania, Ndugu Chipugahelo Alimshukuru Naibu Mustahiki Meya kwa  mapokezi na ushirikiano wanayo pata kutoka kwa Manispaa hiyo ambapo warembo wapo kambini katika Hoteli ya Ikondolelo Lodge iliyopo Kibamba  Manispaa ya Kinondoni. Amemuhakikishia Naibu Meya Kuwa Miss Utalii Tanzania Imejipanga kutangaza Utalii, Utamaduni na Mianya ya uwekezaji Manispaa ya Kinondoni kitaifa na Kimataifa ili hatimaye Kinondoni iwe kati ya Wilaya nchini.


Akizungumza katika Kikao Hicho Naibu Mustahiki Meya Aliwashukuru waandaaji wa Mashindano Hayo kwa Kuteuwa Manispaa ya Kinondoni kuwa makazi ya warembo wa Miss Utalii Tanzania Taifa 2012/13. Hii ni Fulsa pekee kwa Manispaa yetu kimataifa na Kimataifa  lakini pia ni Fulsa kwa Manispaa ya Kinondoni kuuthibitishia Ulimwengu kuwa Tunavivutio vingi vya utalii kuanzia mahoteli, Maeneo ya kihistoria
, Fukwe za Bahari na visiwa vya kuvutia vya Bahari, Aliwahakikishia waandaaji ushirikiano wa Hali na mali,ulinzi na ukarimu  kwa wakati wote watakapo kuwepo kambini ndani ya Manispaa ya Kinondoni.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate