CHEREKO chereko zilitawala kufuatia mwigizaji wa
sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ kujifungua mtoto wa kiume kwa
mumewe anayeishi naye sasa, Tabata, Dar.
“Namshukuru
sana Mungu nimejifungua salama, nilimwomba iwe hivyo. Kwa sasa namwomba
Mola amjalie afya njema na maisha marefu mwanangu ili ikiwezekana naye
aje kuwa mwigizaji kama mimi,” alisema Davina.
No comments:
Post a Comment