Abdallah Zombe.
MAHAKAMA ya Rufaa nchini leo
imefuta rufaa iliyokatwa na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer
Feleshi, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Kamishna Msaidizi, Abdallah Zombe, baada ya mahakama kujiridhisha kuwa
hati ya kukatia rufaa hiyo ilikuwa na mapungufu.
No comments:
Post a Comment