Aliposhuka kutoka kwenye ndege, prezidaa mwenyewe Prezzo, alikua anamsubiri kumchukua baada ya kwenda kumpokea “in style” akiwa amekodi stretched limo maalum kwa mapokezi ya mrembo huyo. Picha zitazungumza kuanzia hapa.
Hapa Huddah Monroe akiongea na waandishi wa habari kuhusu ushiriki wake katika BBA
No comments:
Post a Comment