Washindi
wa Redds Miss Kinondoni Talent 2013 wakiwa katika sura za furaha mara
baada ya kuwagalagaza wenzao na kujikuta wanapatikana wao Kutoka Kulia
ni Sophia Yusuf, Phillious Lemi na Linda Joseph.
Matroni wa warembo wa Redds Miss Kinondoni 2013 akishangiliwa mara baada ya kuonyesha umahili wak e wa kucheza.
Na Cathbert Angelo, Kajunason Blog.
Mashindano ya Redd's Miss Kinondoni yamedhaminiwa na Redd's Original, Chilly Willy Energy Drink, Oriflame Natural Beauty Products, Kiota cha Maraha WANTASH, Virago, Times Fm, JB Belmonte Hotel, Michuzi Media Group, Michuzijr Blog, Mtaa Kwa Mtaa Blog, Fullshangwe Blog, HandeniKwetu Blog, Mrokim Blog, TheHabari.com, JestinaGeorge Blog, SufianMafoto Blog, Global Publishers, Mdimuz Blog, Lukaza Blog, MO Blog na Kajunason Blog.
Jumla
ya washiriki watatu wamepatikana katika shindano Redd’s Miss Kinondoni
Talent 2013 lililofanyika katika ukumbi wa Shekinah Garden, Mbezi Beach
jijini Dar es Salaam.
Akitangaza washindi hao, jaji mkuu wa shindano hilo mtayarishaji wa
Muziki, Man Walter aliwataja Sophia Yusuf, Phillious Lemi na Linda
Joseph kuwa ndiyo waliowagalagaza wenzao wapatao 10 waliokuwa katika
kinyang'anyiro hicho.
Nae Muandaaji wa shindano hilo, Dennis Ssebo alisema kuwa fainali za mashindano hayo zinafanyika leo Juni 21 mwaka huu katika uwanja wa hoteli ya Golden Tulip.
Nae Muandaaji wa shindano hilo, Dennis Ssebo alisema kuwa fainali za mashindano hayo zinafanyika leo Juni 21 mwaka huu katika uwanja wa hoteli ya Golden Tulip.
Alisema kwamba shindano la mwaka huu litaandika historia mpya ya
urembo kwa wilaya ya Kinondoni maana wamejipanga na kupata sapoti ya
kutosha, hivyo mashabiki wa mashindano ya urembo wakae mkao wa kupata
raha.
Mashindano ya Redd's Miss Kinondoni yamedhaminiwa na Redd's Original, Chilly Willy Energy Drink, Oriflame Natural Beauty Products, Kiota cha Maraha WANTASH, Virago, Times Fm, JB Belmonte Hotel, Michuzi Media Group, Michuzijr Blog, Mtaa Kwa Mtaa Blog, Fullshangwe Blog, HandeniKwetu Blog, Mrokim Blog, TheHabari.com, JestinaGeorge Blog, SufianMafoto Blog, Global Publishers, Mdimuz Blog, Lukaza Blog, MO Blog na Kajunason Blog.
No comments:
Post a Comment