Habari ambazo sio nzuri ni kwamba familia ya bongoflava ipo kwenye
majonzi baada ya wasanii watatu kupoteza mama zao katika kipindi cha
siku mbili mfululizo, salamu za pole kutoka IRENE JAMII Blog ziwafikie
wasanii hawa ambao ni Prof Jay na mdogo wake
Black Ryhno kwa kumpoteza mama yao pamoja na Z Anto ambae imeripotiwa
amempoteza mama yake kwa saratani ya ini.
.
.
No comments:
Post a Comment