Jini Kabula.
MEMBA wa Kundi la Scorpion Girls, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Miriam Jolwa
‘Jini Kabula’ wametofautiana hadi kufi kia hatua ya kutukanana na
kutupiana nguo nje.
Mpango mzima ulitokea hivi karibuni Kijitonyama
jijini Dar, nyumbani kwa Isabela ambapo chanzo cha ugomvi huo ni baada
ya Isabela kumsifi a mtandaoni X-memba wa kundi lao, Jacqueline Pentezel
‘Jack wa Chuz’ kwa kununua gari, ndipo Kabula alipokasirika na kuanza
kumtukana Bela na mama yake matusi ya nguoni.
“Sikumuelewa kabisa
Jini, kumsifi a Jack kuhusu kumiliki gari ndiyo kumemfanya anitukane?
Iliniuma sana na sitamsamehe, bora kila mtu achukue hamsini zake, nguo
zake nilimtupia nje,” alisema Bela na kusisitiza kufanya muziki peke
yake kwa sasa.
Alipotafutwa Jini Kabula kuhusiana na sakata hilo, simu yake iliita bila kupokelewa achilia mbali kujibu ujumbe wa BBM ambao
alitumiwa na paparazi.
Alipotafutwa Jini Kabula kuhusiana na sakata hilo, simu yake iliita bila kupokelewa achilia mbali kujibu ujumbe wa BBM ambao
alitumiwa na paparazi.
CREDIT GLP
No comments:
Post a Comment