Ebu check hiki kigauni kilivyotisha
Hiki je chaukweli sana unaweza kwenda
nacho hata kokote kwenye matamasha ya kiheshima au hata harusi na bado
ukaonekana umefunika mbaya kwakuwa hautomkuta mtu mwengine kavaaa kama
wewe
verry nice dress
Wonderfull dress
whaooooo!
Hizi ni kazi tofauti anazozibuni yeye
mwenyewe huu ni wakati wetu vijana hili kuonekana tofauti inabidi
kumtumia huyu binti kutubunia nguo zetu za kipekee kabisa.
CREDIT: HK BLOG
CREDIT: HK BLOG
No comments:
Post a Comment