Hakeem kutokea nchini Zimbabwe nae ameyaaga mashindano usiku wa kuamkia leo
huku akiwa haamini kabisa kile kilichotokea kutokana na utani aliokuwa
akiwatania wenzake kwamba wanatoka.Na cha zaidi amemuacha mchumba
wake CLEO katika wakat wa majonzi.
Mwanadada Fatima kutoka Malawi ndiye aliyekuwa wa kwanza kuaga mashindano ya BBA usiku wa kuamkia leo.Mshiriki mwenzake kutoka Malawi Natasha hakuamini kilichotea na kuanza kulia huku Fatima akimwambia Natasha "No drama, no drama. It's not about you, chill out "kasha akaagana na wenziwe na kutoka nje ya jumba la BBA.

No comments:
Post a Comment