Leo tunasherehekea siku ya kuzaliwa ya mwigizaji mwenzetu na rafiki yetu Mahsein Awadhi maarufu kama Dr.Cheni. Cheni ni mmoja wa waigizaji wakongwe na waliojipatia sifa kubwa hapa nchini katika kipindi chote hichi cha maisha yake. Katika pitapita zetu tuliweza kupata maneno aliyoandikiwa na muigizaji Elizabeth Michel katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa.
Lulu ameandika…
Lulu ameandika…
Dr. Cheni amekuwa ni mtu wa karibu sana wa mwanadada Elizabeth Michael na ni mmoja wa watu waliofanikisha kwa kiwango kikubwa kwenye upatikanaji wa dhamani wa mwanadada huyu katika kesi inayomkabili.
Happy birthday Dr.Cheni.
No comments:
Post a Comment