WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO UFUNDI NA
CHUO CHA 'MANEGEMENT' NA MAENDELEO YA MAJI
Wanafunzi Kuripoti katika shule walizopangwa Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano kuanzia mwaka huu 2013 itaanza mwezi Julai. Wanafunzi wamepangwa katika shule zenye miundombinu na walimu kwa masomo husika.

Aidha, kama baadae upungufu utajitokeza, wakuu wa shule wameelekezwa
kufanya taratibu za kuazima walimu wa muda na kutoa taarifa kwa uongozi
wa halmashauri husika kuhusu upungufu wa walimu uliopo.
Kwa nafasi hii, ninaagiza wanafunzi wote kuripoti katika shule walizopangwa
tarehe 29 Julai, 2013. Kama kutakuwa na sababu yoyote ya
msingi ya kuhamia shule nyingine, uhamisho wa kawaida utafanywa baada ya
kuripoti shuleni kupitia kwa mkuu wa shule husika, Mkurugenzi wa
Halmashuri/Manispaa na Katibu Tawala wa Mkoa. (Wizara
haitabadilisha shule walizopangwa wanafunzi)
Wanaporipoti wanatakiwa kuwa na:
Original Result slip na Living Cerificate
Wanaporipoti wanatakiwa kuwa na:
Original Result slip na Living Cerificate
No comments:
Post a Comment