Ama kweli ustaa kazi! Mrembo Wema Sepetu kakumbwa na kasheshe kutoka kwa
mashabiki wake baada ya kutupia picha instagram akiwa kapozi na wengine
kuanza kumlamu kutokana na mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Japo
alijitetea na kusema picha hizi alipiga kabla ya mwezi huu wengine hata
hawakumuelewa! Cheki hapo chini..


Hivi ndivyo ilivyokuwa..

Ikafikia hatua wengine wakamlaumu Mrembo huyu kuwa bwana Diamond amabaye
kumbukumbu zinaonesha walifikia mpaka hatua ya kuvishana pete ya
uchumba..

Kweli umaarufu kazi na unahitaji uvumilivu wa hali wa hali ya juu.
No comments:
Post a Comment