
FLORA LYIMO AAMBIWA ATUME BANK
ACCOUNT ''KUSAHAU KUTUMA NA NIKATUMA LEO 17/07/2013' THIS IS WHAT
HAPPEN '' BAADHI YA MESEJI ALONITUMIA KWENYE SIM HUYO SHEILA'S FASHION
DIVA'a.k.a. SHEILA FRISCH LOUISA ''''
Sheila>Wewe husinijazie msg kwenye
inbox au huelew ,sasa pesa ulipwi ,vitu vyako hupewi coz sikumbuki kama
unanidahi ''' alafu ndio tulielewana endapo nitauza so sijauza hata
kimoja so far ,na sasa pesa hulipwi na hatudaiani''
Jamani NA USHAIDI NA WASAIDI
WAPO'''kama mnavyomsoma hapo ndo hivyo nilivyoambiwa leo sii muda mrefu
baada ya Mmimi kukumbuka kwamba aliniambia nimpe my Bank Account
aniwekee pesa zangu''leo kumtumia ndo yamekuwa haya'' Basi Mimi
sitomdai tena ila akae akijua KITU CHA RUSHWA AU WIZI hakitomfikisha
popote,,Alichukua kwa Mkopo kajaza Kiduka chake hata sijawahi kukiona
ila kwa Picha tu'' kama mnavyoona kwenye Kiblog chake pia, na
alivyoviandika mpaka na jina langu kutumia code zake anazozifaham yeye
..I can say 80% of vitu alivyojaza humo ni vya kwangu na sasa ni zaidi
ya Mwaka bila kupewa hata senti moja.. na Huku alianza kuingilia Ugomvi
usio muhusu kumbe akijua ndo hapo atapata njia yakutonilipa Pesa zangu''
Viatu kavitoboa toba kuviengezea maurembo yake sasa hata avirudishe
akiondoa viurembo vyake sivitaharibika ? na lingine kama nikurudisha
rudisha basi kwa Mwenyewe na siyo umuambie eti aje akachukue na mara
humpi chochote mara kimepanda kimeshuka,yani mausingizio kibao''sikukupa
tuzungushana na tudaiane kwa ugomvi au Dunia kujua na ndiyo maana
nikakuambia hatudaiani kwa sababu ushanunua ugomvi usio kuhusu
''nilikutumia my bank account kama ulivyoniagiza'' but is ok utapeli
hukuuanzia kwa Flora Lyimo London Accessories '' Uliuanzia hukooo''na
nilikanywa lakini ndo hivyo tena ninaroho ya HURUMA NA YAKUTOA MNO''What
can I say'' Nitazidi kumshukuru Mungu ataniongezea yeye kwani ndo
alienipa niliyokukopesha pia'. NA VILE VILE HUTONIVUNJA NIA YANGU NA MY
GOAL ARE PALE PALE''' AMA KWELI KUKOPA HARUSI KULIPA MATANGA'' But
KUMBUKENI NINAO WAPENI MKOPO 'IKIWA HAMTANILIPA MTANIRUSHA ,MTAISHIA
HAPA HAPA NA POPOTE NIWEZAPO KUWATANGAZENI DUNIA IWATAMBUENI KWA UTAPELI
NA URUSHAJI WENU''AU HATA WIZI''''
KWA WALE WOTE WANAOCHUKUA MKOPO KUTOKA KWANGU ''
Msichukue mkadhani msiponirudishiwa
nitajitia kitanzi ,,mbuta nanga''yani kaeni mkijua mimi malengo yangu
nikuwasaidieni mpate kazi za kuwalipeni pesa ya uhalali na tena hakuna
Mtu anae weza kukupa mkopo hivi hivi hata hamjuani ''Mimi nimefanya
hivyo maana I CAN DO IT''kukusaidia uweze kuacheni kujiuza Ovyo na pia
kuweka maisha yenu hatarini kwani Uchangudoa tunaona ni nini hasa
wanafanya na wapi wanafanyia '''na siyo kwa kupenda kwao ,yani mimi hayo
ni Maoni yangu na my Goals'' One day ningependa iwe mwisho wa
Machangudoa kujiuza kwa ukinaishaji na huku siyo kwa kupenda kwao ni kwa
kukosa kazi za kuwalipa pesa za halali '' so ndo maana Mama Sheila
uelewe'' kwa hiyo Wewe na wale wenzako watakao NIRUSHA JUENI PIA KUNA
MUNGU NA MUNGU NDO KANIPA NA AKIWA NA MALENGO YANGU NIWASAIDIE WALE
WANAOTAKA KUSAIDIWA NA SIYO WEWE UNAE KUJA KWA UTAPELI''' SASA KIDUKA
KIMEJAA KWA MTAAJI WANGU '' NA WEWE SIYO WA KWANZA KUNITAPELI
NISHATAPELIWA NA WENGI NA WENGINE WAMEJENGA MANYUMBA DAR''SASA HEBU
WAULIZE WAKO WAPI? NA WALIYONITAPELI ?? YANI NI NOMAA MSITAPELINI WATU
WALA KUFANYA BIASHARA ZA SEMBE ZITAKUJA KUWATOKEENI PUANI NA MWISHO WA
SIKU HAMTAONDOKA HAPA DUNIANI NA CHOCHOTE'' TUPENDANENI NA TUKAENI KWA
AMANI NA HASA KUSAIDIANA NA SIYO KUTAPELIANA NA KUTAFUTIANA
MADRAMA'S''RUWA MANGI''
'MALIPO DUNIANI AKHERA KUHESABIWA'...
No comments:
Post a Comment