DAYNA
Msanii wa kizazi kipya Dayna
ambaye hivi karibuni kumeibuka malumbano yanayodai Diamond kutumia beats
ya wimbo wake wa Naumia alioutengeneza kwa prodyuza Shedy na Prodyuza
alipoulizwa alisema Dayna alikubali Beats za wimbo wake zitumiwe na
Diamond huku akidai kwamba Dayna alikua hajalipia beats ya wimbo wake na
hivyo kuamua kumuuzia Diamond ambaye nae bila kuchelewa ameishatoa
wimbo wake wa My number one ambao unatamba sasa hivi kwenye vituo vya
radio na vituo vya luninga.
No comments:
Post a Comment