Mrembo Clara Bayo akipunga mkono
mara baada ya kutangwazwa kuwa mshindi wa Taji la Redd's Miss Tanzania
Sports Woman 2013 juzi wakati wa tamasha la michezo la warembo wanao
wania taji la Miss Tanzania 2013. Bayo alifanya vyema katika michezo
kadhaa na kujizolea point nyingi na kuwashinda warembo wengine 29.
Kwa Taji hilo Clara Bayo ambaye
anatoka Kanda ya Ilala, amekuwa mrembo wa nne kuingia nusu fainali za
Mashindano hayo makubwa ya urembo nchini ambayo fainali zake zitafanyika
Ukumbi wa Mlimani City Septemba 21 mwaka huu.
Clara Bayo akipozi kwa picha.
Warembo walichuana vikali kaika
soka huku timu za Redd's na Zanzi zikichuana na Zanzi iliyoongozwa na
nahodha na mfungaji bora Happines Watimanywa ikishinda kwa goli 2-1.
Michezo mingene mbalimbali ilifanyika kama kukimbia, kukimbia na magunia, kuruka chini, Volleyball na kuogelea ilifanyika.
No comments:
Post a Comment