Poziiiiiii owk kaaa tayarii twendeeeeeee!!!!
Hapa akiset mwangaa!
Safiii gud pozi
Ebu ngoja niinamishe camera nione kama kuna kitu nitaona kwa ndani!!
safi hiyo napigaaaaaa
Bdailidha pozi snura
Ebu smile kidogo!!!1
Mpiga picha huyu hatari kapanda mpaka juu ya kiti.
Chek hapo alivyoinamia hili mradi hapate picha nzuri tu
hiii vaa miwaniu tuone unafananaje
Ngoja nikuonyeshe sasa zilivyotoka picha zako zote
Hii ndio ile niliopiga kwa chini ila umeweka mkono sijaona kitu dah ila poa tu
Hk akamjibu Kwa mtonyo gani hapa utatoka kapa bro ila uko vizuri kama issa mnari nimekukubari sana.
No comments:
Post a Comment