|
Angel |
Angel Maggie ambaye ni demu wa Kenya anayedaiwa kuwa mpenzi wa
mwanamuziki superstar wa Tanzania Diamond Platinumz amejichora tattoo ya
madini ya almasi(Diamond) kuashiria ni kwa jinsi gani anavyompenda
mwanamuziki huyo kwa mujibu wa mitandao ya kenya. Pia inadaiwa hivi
karibuni wawili
hao walikuwa bega kwa bega Nairobi na Mombasa wakati
Diamond alipokuwa na show nchini humo na kwa mujibu wa mitandao ya huko
iliripotiwa Angel kupata nafasi ya kulala na Diamond. Angalia tattoo
hiyo hapo chini...
tattoo aliyojichora na hapo chini akiwa na Diamond
akiwa na Diamond
No comments:
Post a Comment