Msanii wa muziki wa kizazi kipya Mwansiti Almasi,akifafanua namna
anavyonufaika na huduma za NSSF,mara tu walipojiunga kupitia kundi lao
la Lekadutigite,ndani ya semina ya fursa twendzetu iliyofanyika ndani ya
ukumbi wa Katema Hall,Midland hotel mkoani Morogoro.
anavyonufaika na huduma za NSSF,mara tu walipojiunga kupitia kundi lao
la Lekadutigite,ndani ya semina ya fursa twendzetu iliyofanyika ndani ya
ukumbi wa Katema Hall,Midland hotel mkoani Morogoro.
Meneja huduma wa
Wajasiliamali-Zantel akizungumza mbele ya sehemu ya wakazi wa Morogoro
waliojitokeza kwenye semina ya Kamata fursa twendzetu,kuhusiana na fursa
mbalimbali zinazopatikana ndani ya kampuni hiyo,Semina hiyo iliofanyika ndani ya ukumbi wa Katema Hall,Midland
hotel mkoani Morogoro siku ya jana iliwakutanisha wadau mbalimbali.Semina ya kamata fursa twendzetu inaratabiwa na Clouds Media Group,ambapo kwa sasa imekwishafanyika ndani ya mikoa zaidi ya nane,ikiwemo Kigoma,Singida,Tabora,Dodoma,Mtwara,Mbeya,Morogoro
pamoja na Iringa.

wakifuatilia
Mkurugenzi wa Vipindi na uzalishaji, Ruge Mutahaba akifunga semina ya Fursa kwa vijana iliyofanyika mapema siku ya jana mkoani Morogoro.
Semina ikiendelea ndani ya ukumbi .
Niki wa Pili akielezea fursa mbalimbali wanazoweza kuzitumia vijana katika
nafasi mbalimbali wanazozipata,badala ya kubweteka na kusubiri fursa
ziwafuate hapo walipo,na pia amewataka vijana wenzake waache kulalama
kila kukicha na kuona maisha ni magumu,badala yake wanapaswa kujituma
kwa kila nafasi waipatayo.

Sehemu ya meza kuu ikifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakijadiliwa na wadau ukumbini humo.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya
MaxMalipo,Bwana Ahmed Lussapi akizungumzia fursa mbalimbali
zinazopatikana kwenye kampuni yake,na pia namna ya kunufaika
nalo,amesema kuwa kwa sasa kampuni hiyo imekuwa ikiisaidia jamii katika
wigo mpana kwa kutoa huduma mbalimbali,hivyo amewataka vijana
kuchangamkia fursa za namna hiyo ili kujikwamua na ugumu wa maisha.
Mbunifu wa mavazi kutoka mkoani Morogoro,ambaye pia ni mjasiliamali
aliyejitambulisha kwa jina la Diana Magessa akionesha mbele ya washiriki
wa semina ya Fursa kwa Vijana (hawapo pichani) baadhi nguo zake
alizozidizaini kwa ubunifu wake.
aliyejitambulisha kwa jina la Diana Magessa akionesha mbele ya washiriki
wa semina ya Fursa kwa Vijana (hawapo pichani) baadhi nguo zake
alizozidizaini kwa ubunifu wake.
Mrisho Mpoto akisisitiza jambo.
Mkali wa kughani Mashairi,Mrisho
Mpoto akizungumza na wakazi wa Morogoro waliojitokeza mapema leo
asubuhi kwenye semina ya fursa twendzetu ndani ya ndani ya ukumbi wa
Katema Hall,Midland hotel mkoani Morogoro.
Baadhi ya wageni waliohudhuria semina hiyo wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zinajadiliwa ukumbini humo.
Mmoja wa wasanii kutoka kundi la
Weusi,Niki wa Pili akizungumza mbele ya wakazi wa Morogoro wakati wa
semina ya Fusra kwa vijana ikiendelea
ndani ya ukumbi wa Katema Hall,Midland hotel mkoani Morogoro mapema siku ya jana asubuhi.Semina ya kamata fursa twendzetu inaratabiwa na Clouds Media Group,ambapo kwa sasa imekwishafanyika ndani ya mikoa zaidi ya
nane,ikiwemo Kigoma,Singida,Tabora,Dodoma,Mtwara,Mbeya,Morogoro pamoja na Iringa.

No comments:
Post a Comment