Burudani
ya ngoma ikiendelea katika Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika Ndani ya
Tamasha la Jinsia lililofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Usu Mallya
(wa pili kulia) akiwa na wageni wake pamoja na wanachama wa TGNP.
Baadhi ya wageni waalikwa ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika…
Burudani
ya ngoma ikiendelea katika Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika Ndani ya
Tamasha la Jinsia lililofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini
Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Usu Mallya
(wa pili kulia) akiwa na wageni wake pamoja na wanachama wa TGNP.
Baadhi
ya wageni waalikwa ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye
maadhimisho ya Tamasha la Jinsia Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP).
Baadhi
ya wafanyakazi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania wakiwa na wageni anuai
ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika Ndani yaTamasha la Jinsia.
Meneja
wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP),
Lilian Liundi (katikati) akiwa na baadhi ya wageni waalikwa ndani ya
Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye Tamasha la Jinsia.
Maonesho ya mavazi ya kiafrika ndani ya Usiku wa Mwanamke wa Kiafrika kwenye Tamasha la Jinsia.
Vivywaji na vyakula navyo katika hafla hiyo vilikuwa ni vya kiasili asili. Hapa wageni wakipata kinywaji aina ya dafu.
Kikosi
kazi na waratibu waliofanikisha tamasha la jinsia Tanzania
kikitambulishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Usu Mallya (kulia).
No comments:
Post a Comment