Katibu
Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Angetile Osiah (kushoto)
akimkabidhi bendera ya Taifa, nahodha wa timu ya vijana ya wasichana wa
Airtel Rising Stars, Stumai Abdallah. Timu hiyo inaondoka leo kuelekea
Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars.
Angetile Osiah (kushoto) akimkabidhi bendera ya Taifa, nahodha wa timu ya vijana ya wavulana wa Airtel Rising Stars, Athanas Shindeka. Timu hiyo inaondoka leo kuelekea Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars.
Osiah (kushoto) akimkabidhi bendera ya Taifa, kwa timu za vijana za wasichana na wavulana wa Airtel Rising Stars.Angetile Osiah (kushoto) akimkabidhi bendera ya Taifa, nahodha wa timu ya vijana ya wavulana wa Airtel Rising Stars, Athanas Shindeka. Timu hiyo inaondoka leo kuelekea Nigeria kushiriki mashindano ya Afrika ya Airtel Rising Stars.
No comments:
Post a Comment