Baada ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema
walipokuwa Malaysia katika moja ya show zake na Platnumz kukanusha
habari hiyo kupitia website yake, hatimaye imepata picha nyingi za
Diamond na C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti
tofauti za kimahaba nchini humo.
diamondplatnumz: Katika moja ya Muvie ambazo naimani itakuwa ni Gumzo, Mfano na Bora toka Tanzania basi ni hii... #TEMPTATIONS .... STAY TUNED!!!! SOON!....#DayOne #Location #SomeWhere
No comments:
Post a Comment